Stories

Utamaduni wa Jamii ya Iteso Afrika Mashariki wanaoaminika kufukua wafu wao baada ya kuwazika kwa kipidni fulani,

Eldoret, Kenya Cultural 06 Dec 2022

https://www.hubzmedia.africa/historia-ya-jamii-ya-itesowanaaminika-kufukua-wafu-wao/

Swahili Radio Documentary;


Jamii ya Iteso kutoka mataifa ya Afrika Mashariki na haswa taifa la Kenya na Uganda wanaaminika kuwa na ukwasi wa mila na taamduni za jadi.

Jamii hii ambao walitoka taifa la Djibouti ,waliamini katika Mungu wa balaa , Aidha katika Jamii hii

wanaume waliweza kuoa wanawake wengi, na pia Waliweza kufukua mabaki ya wafu wao baada ya kipindi cha miaka fulani kama ishara ya heshima kwao.
Need Help?

9:00-17:00 GMT
Mon‑Fri, or by email 24/7